| Habari na Matukio |
| Ulipaji wa Ada |
| Matokeo ya mitihani ya kitaifa |
| Mahali shule ilipo |
| Wasiliana nasi |
| Picha za Matukio |
| Video mbalimbali |
| Ubao Mkuu |
| Kitabu - Maombi yenye Mafanikio |

Masomo yanayofundishwa Kidato cha Tano na Sita
Shule ya sekondari Jifunzeni inafundisha masomo yafuatayo kwa kidato cha tano hadi cha sita:
| TAHASUZI | MASOMO |
| HGL | Historia, Jiografia, na Kingereza |
| HGK | Historia, Jiografia, na Kiswahili |
| HKL | Historia, Kiswahili, na Kingereza |
| HGE | Historia, Jiografia and Uchumi |
| EGM | Uchumi, Jiografia, na Hisabati za Juu |
| PCM | Fizikia, Kemia, na Hisabati za Juu |
| PGM | Fizikia, Jiografia, na Hisabati za Juu |
| PCB | Fizikia, Kemia, na Biolojia |
| CBG | Kemia, Biolojia, na Jiografia |
| ECA | Uchumi, Biashara na Uhasibu. |