| JUMATATU HADI IJUMAA |
| MUDA |
SHUGHULI / TUKIO |
WAHUSIKA |
| 10:00 - 12:30 AL |
Kujisomea - Asubuhi |
Wanafunzi chini ya usimamizi wa makamu na mkuu wa Shule |
| 12:30 - 01:00 AS |
Kunywa uji |
Wanafunzi wote |
| 01:00 - 01:30 AS |
Usafi wa jumla |
Wanafunzi wakisimamiwa na vingozi wao. |
| 01:30 - 02:00 AS |
Maombi na kukusanyika |
Wanafunzi wote na wafanyakazi |
| 02:00 - 05:30 AS |
Darasani Vipindi vya Asubuhi |
Walimu na wanafunzi |
| 05:30 - 05:50 AS |
Mapumziko - Chai |
Wanafunzi wote na wafanyakazi |
| 05:50 AS - 08:30 MC |
Darasani - Vipindi vya mchana |
Wanafunzi wote na wafanyakazi |
| 08:30 - 09:30 MC |
Chakula cha Mchana |
Wanafunzi wote na wafanyakazi |
| 03:30 MC - 11:00 JN |
Darasani - masomo ya ziada |
Wanafunzi, walimu na Mtaaluma |
| 11:00 - 12:00 JN |
Mtaala wa ziada |
Wanafunzi, wafanyakazi na mwalimu wa zamu |
| 12:00 - 12:30 JN |
Chakula cha jioni / usiku |
Wanafunzi wote na wafanyakazi |
| 12:30 JN - 01:00 US |
Ibada na maombi |
Wanafunzi wote |
| 01:00 - 05:00 US |
Masomo - Kujisomea usku |
Wanafunzi wote na walimu |
| 05:00 - 05:20 US |
Kuhakiki wanafunzi bwenini |
Walezi wa wanafunzi na walimu wa mabweni |
| 05:20 US - 10:00 AL |
Mapumziko / Kulala |
Wanafunzi wote |